Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKT) dayosisi ya Iringa Dr.OwdenburgMdegela |
Wachungaji na msaidizi wa Askofu kulia wakifuatilia salam za pasaka zilizokuwa zikitolewa na askofu Dr Mdegela |
waumini wa KKKT usharika wa kanisa kuu leo |
wanahabari Iringa wakirekodi salam za askofu Dr Mdegela leo |
Waumini wa kanisa hilo na wageni kutoka nje wakifuatilia salama za askofu Dr Mdegela |
Katibu wa Asas za Kiraia mkoa wa Iringa Raphael Mtitu kulia akifuatilia salama za askofu Dr Mdegela |
mdau wa mtandao huu Stivin Lwambati wa pili kulia akifuatilia salam hizo
Askofu Dr Mdegela akitoa salam za Pasaka |
Askofu Dr Mdegela akitoka kanisani hapo baada ya ibada ya Pasaka |
Kwaya kuu ikiimba
Post a Comment