Vijana
wakiwa kwenye maandamano kuelekea shule ya msingi mto wa mbu kwa ajili
ya kupanda miti na baadae kuelekea uwanja wa Barafu kuanza tamasha.
Vijana
wakiwa kwenye maandamano kuelekea shule ya msingi mto wa mbu kwaajili
ya kupanda miti na baadae kuelekea uwanja wa Barafu kwa ajili ya kuanza
tamasha.
Vijana
wakiwa kwenye maandamano kuelekea shule ya msingi mto wa mbu kwaajili
ya kupanda miti na baadae kuelekea uwanja wa Barafu kwa ajili ya kuanza
tamasha.
Mkuu
wa wilaya ya Monduli MhebJowika Kasunga akimkabidhi nahodha wa timu ya
Zion ya Mto wa mbu Said Said kikombe baada ya kuibuka mshindi kwa
kuifunga sekondari ya Rift Valley kwa goli 2-0
Mkuu wa wilaya ya Monduli Jowika Kasunga akimkabidhi zawadi ya Ngao nahodha wa timu ya sekondari ya Rift Valley Hussein Ally
Mkuu
wa Wilaya ya Monduli Jowika Kasunga akikagua timu ya Rift Valley B,
iliyocheza na Rift Valley A na kufungwa kwa jumla ya goli 2-0
Kikundi
cha sarakasi cha mto wa mbu kikiburudisha wakati wa uzinduzi wa Tamasha
la michezo la Utalii Cup katika uwanja wa barafu katika eneo la mji
mdogo wa Mto wa mbu, wilayani Monduli,Arusha.
Mkuu
wa wilaya ya Monduli aliyekuwa mgeni rasmi wa uzinduzi wa tamasha la
utalii CUP akipanda mti wa kumbukumbu katika shule ya sekondari ya Mto
wa mbu. Picha na Seif Yustus
Post a Comment