Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA LAZINDUA VITABU VYA UCHAMBUZI WA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 NA MATOKEO YA DARASA LA SABA KWA MWAKA 2012 KATIKA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MATOKEO MAKUBWA SASA" BRN KWA MAENDELEO YA ELIMU;



Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenister Mhagama akizindua vitabu vya matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2013. Kulia ni  Naibu wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala na Serikali za Mitaa, Kassim Majaliwa na kushoto ni Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania, Dk. Charles Msonde

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya  Ufundi , Jenister Mhagama akipata maelezo kwenye Banda

Baadhi ya wafanyakazi wa Baraza la Mitihani la Tanzania wakifuatilia uzinduzi huo

Baadhi ya wafanyakazi wa Baraza la Mitihani la Tanzania wakiwa katika pozi la picha wakati wa sherehe za uzinduzi wa vitabu vya matokeo


 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa vitabu vya matokeo ya Darasa la Saba kwa mwaka 2012
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top