WADAU WA MUZIKI WA DANSI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA |
wadau wa muziki wa dansi Asha Kigundula na mwandishi wa gazeti la mwananchi |
Baadhi ya wasanii wa bendi mbalimbali wakiwa katika mdahalo wa muziki wa dansi kutoka kushoto ni King Kiki, Juma Ubao, Mafumo Bilali 'Bombenga' Kassimu Mapili na Waziri Ally |
Wadau wa muziki wa dansi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika mdahalo |
Baadhi ya wadau wa muziki wa dansi wakiwa katika meza kuu kushoto ni Mwani Nyangasa, Rose Chitara kushoto ni Muddy Muzungu |
Baadhi
ya wadau wa muziki waliojitokeza katika mdahalo wa muziki wa dansi
kutoka kushoto ni , Deo Mutta Mwanatanga,Taasisi Masela na Super
Nyamwela wa Extra Bongo Picha nawww.burudanm.blogspot.com
Mwani Nyangasa kulia akiwa na Richard Mangustino
WASANII
wa muziki wa dansi pamoja na wadau mbalimbali wa mziki huo leo
walikutanishwa na Shilika la utangazaji la Taifa TBC kwa ajili ya
mdahalo wa kujadili mambo mbalimbali yanayohusu kupolomoka kwa mziki wa
dansi nchini
Mdahalo
huo ulioratibiwa na Dacota Khamis anaetangaza kipindi cha nyumbani ni
nyumbani imeleta chachu kwa wasanii hawo kwa kufungua ukurasa mpya baada
ya mada mbalimbali kujadiliwa wakati wa mdahalo hou
Mada
zilizozungumzwa 1. Sababu ya Kuporomoka kwa Muziki wa Dansi, 2. Mikataba
na wajibu wa wamiliki wa bendi kwenye vifo na maradhi, 3. Ushirikiano
wa Wamiliki wa bendi, 4. Maadili ya uchezaji kwa wanenguaji.wanamziki
hawo ambao mara nyingi walikuwa wakilalamikia vyombo vya habari hususani
tv na radio kutokupiga nyimbo zao na kuenderea kuwapa mda mrefu wasanii
wa kizazi kipya ambao mara nyingi nyimbo zao azina hubora wa aina
yoyote
Baadhi
ya waliokuwepo; Dacota Khamis, Rose Chitallah, Chacha Sinda, Mody
Muzungu, Chiki Mchoma, Sunday Mwakanosya, William Kaijage, Kassim
Mapili, Abdul Salvador, Deo Mutta Mwanatanga, Richard Mangustino, Rajabu
Mhamila 'Super D', Asha Baraka, Ally Choki, Mwani Nyangasa, Asha
Kigundula, King Kiki, Hussein Jumbe, Saidi Kibiriti, Waziri Ally, Juma
Ubao, Mafumu Bilali, Othman Suka, Taasisi Masela, mtu wa BASATA na mtu
wa TBC.
Post a Comment