Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimtembezea sehemu mbali mbali za Ikulu na
Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma aliyemtembelea leo. Mhe Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu mashuhuri waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru jana.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimtembezea sehemu mbali mbali za Ikulu na
Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma aliyemtembelea leo April 27,
2014.
Post a Comment