RIDHIWANI KIKWETE |
Matokeo ya awali
Matokeo ya chalinze ya OFISI YA MTENDAJI KATA 01
AFP 00
CCM 55
CHADEMA 09
CUF 00
NRA 00
OFISI YA MTENDAJI KATA 2
CCM 59
CHADEMA 11
CUF 01
AFP 00
NRA 00
Matokeo ya awali lugoba sec kura 42 Zilizo pigwa CCM 37 CUF 0 CHADEMA 5 S/MSINGI LUGOBA 229 ccm 221 CHADEMA 0 CUF 8
Mindutulien ccm 44 chadema na CUF Wote 17
Mwambala 65 CUF 0 CHADEMA 6
Kinzagu 121 ccm. CUF 0 CHADEMA 3
Mpaka sasa 13-0
Kata ya MBWEWE
CCM 331
CHADEMA 72
CUF 14
KATA YA MPAJI
CCM 124
CDM 10
CUF 12
KATA YA KWAMTONGA
CCM 83
CDM 2
CUF 11
NRA 1
AFF 2
KATA KIBINDU
CCM 1313
CDM 300
KATA CHANGALIKWA
CCM 203
CDM 25
CUF 3
Kata ya MBWEWE
CCM 331
CHADEMA 72
CUF 14
KATA YA MPAJI
CCM 124
CDM 10
CUF 12
KATA YA KWAMTONGA
CCM 83
CDM 2
CUF 11
NRA 1
AFF 2
KATA KIBINDU
CCM 1313
CDM 300
KATA CHANGALIKWA
CCM 203
CDM 25
CUF 3
KATA YA TALAWANDA
CCM 1192
CDM 104
CUF 4
AFP 7
NRA 1
Kata ya Pera; Malivundo Ofisi ya Mtendaji; CCM 77, CHADEMA 2, CUF , AFP 1, NRA 1.
Kimbugi; CCM 11, CHADEMA 1, CUF 0, AFP 0, NRA 0
Magange Ofisi ya Kitongoji; CCM 101, CHADEMA 1, NRA 0, AFP 0
Pingo Shule ya Msingi Namba 1; CCM 31, CHADEMA 1, CUF 1, NRA 0, AFP 0
Pingo Ofisi ya Kitongoji Namba 2; CCM 61, CHADEMA 4, CUF 2, AFP 1, NRA 0
Pingo Namba 1; CCM 66, CHADEMA 0, NRA 0, AFP 0
- Matokeo ya awali kwa baadhi ya vituo yanaonesha kuwa mgombea wa CCM Ridhiwani Kikwete anaongoza kwa kiasi kikubwa.
- Kazi ya kuhesabu kura katika Jimbo la Chalinze imeanza na matokeo yatatangazwa muda wowote kuanzia sasa.
-
Baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani ikiwa ni pamoja na CHADEMA
wamelalamikia mwenendo wa uchaguzi wa ubunge Jimboni Chalinze.
-
Rais Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wamejitokeza kupiga kura
katika kituo cha shule ya Msingi Msoga kuchagua mbunge wa Chalinze.
- Wakazi wa jimbo la Chalinze wamejitokea kwa wingi kupiga kura kumchagua mbunge wao. Zoezi limemalizika kwa amani na utulivu.
Wakati huo Kurugenzi ya Habari CHADEMA imeelezea HALI ILIVYOKUWA NA MATOKEO YA AWALI CHALINZE kama ifuatavyo:-
Uchaguzi wa mdogo wa Jimbo la Chalinze umefanyika huku ukigubikwa na
kasoro kadhaa, ikiwa ni pamoja na watu wachache kujitokeza vituoni
kupiga kura, wapiga kura kulalamika ‘kupokwa’ vitambulisho vyao, vituo
kuwa majumbani kwa watu, huku pia kukiwa na hofu ya vurugu.
Kasoro hizo zilijidhihirisha jana wakati wapiga kura shughuli ya upigaji
kura ilipokuwa ikiendelea katika maeneo mbalimbali ya jimbo hilo ambapo
wananchi wa Chalinze walikuwa wakipiga kura mbunge wao, kuziba nafasi
iliyoachwa wazi na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Said Bwanamdogo
aliyefariki mapema mwaka huu.
3 comments
Hayo ndiyo matakwa ya wanachalinze, jipangeni kwa chaguzi zijazo
ReplyHukawii kuskia chadema tumeibiwa kura zetu
ReplyTatizo hawa jamaa wa CDM wanajimaliza kwa micharuko na mitusi. Eti wizi mtu! wakavue magwanda wavae kirai kama ni wapigania haki za raia
ReplyPost a Comment