Ridhiwani
Kikwete akihutubia wakazi wa kijiji cha Tokamisasa wakati wa mkutano wa
kampeni za ubunge zinazoendelea ambapo aliwaambia kuwa atahakikisha
tatizo la wakulima na wafugaji kwa kuweka mpango bora wa matumizi ya
ardhi.
Ridhiwani Kikwete akihutubia wakazi wa kijiji cha Tokamisasa wakati wa mkutano wa kampeni za ubunge zinazoendelea ambapo aliwaambia kuwa atahakikisha tatizo la huduma za afya linatatuliwa, kuboresha miundo mbinu elimu na kurudisha michezo jimboni.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete akicheza muziki na Miraji Mtaturu Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi wakati wa mkutano wa kampeni za ubunge jimbo la Chalinze uliofanyika kwenye kitongoji cha Mbuyu kijiji cha Tokamisasa kata ya Ubena Zomozi.
Sam wa Ukweli akitumbuiza kwenye kampeni za CCM zilizofanyika katika kijiji cha Tokamisasa kitongoji cha Mbuyu.
Mgombea wa
Ubunge wa jimbo la Chalinze CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akisalimiana na
wazee wa kijiji cha Tokamisasa wakati akiwasili kwenye kitongoji cha
Tuka Mjini tayari kwa kufanya mkutano wa kampeni.
Wakina Mama wa
Kimasai wakifuatilia kwa makini mkutano wa kampeni za ubunge za CCM
ambapo mgombea wa CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete alifika katika tawi la
Kivuga na kuomba kura.
Katibu wa NEC
Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wafugaji wa Kimasai wa Tawi
la Kivuga kata ya Ubena Zomozi wakati wa mkutano wa kampeni za ubunge
jimbo la Chalinze.
Mgombea Ubunge wa CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akizungumza na vijana wajasiriamali wa UVCCM mshikamano Visakazi mara baada ya kuzindua shina hilo lililopo katika kata ya Ubena Zomozi.
Ridhiwani Kikwete akihutubia wakazi wa kijiji cha Tokamisasa wakati wa mkutano wa kampeni za ubunge zinazoendelea ambapo aliwaambia kuwa atahakikisha tatizo la huduma za afya linatatuliwa, kuboresha miundo mbinu elimu na kurudisha michezo jimboni.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete akicheza muziki na Miraji Mtaturu Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi wakati wa mkutano wa kampeni za ubunge jimbo la Chalinze uliofanyika kwenye kitongoji cha Mbuyu kijiji cha Tokamisasa kata ya Ubena Zomozi.
Sam wa Ukweli akitumbuiza kwenye kampeni za CCM zilizofanyika katika kijiji cha Tokamisasa kitongoji cha Mbuyu.
Msanii wa
Mashairi Mwanahamisi Mohamed wenye ulemavu wa macho akiimba shairi
linaloitwa Changamoto wakati wa mkutano wa kampeni za ubunge jimbo la
Chalinze CCM ambapo Ridhiwani Kikwete alihutubia na kuomba kura kwa
wananchi wa kijiji cha Tokamisasa.

Post a Comment