Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Zoezi la kuondoa ombaomba katikati ya jiji la DSM limeanza.

 

 Zoezi la kuwaondoa ombaomba katikati ya jiji la Dar es Salaam limeanza ambapo halmashauri ya manispaa ya temeke imefanikiwa kuwakamata baadhi ya ombaomba walioonekana katika maeneo ya manispaa yao kwa lengo la kuwafikisha mahakamani na wengine kurejeshwa makwao.
Zoezi hilo limeendeshwa na maafisa wa manispaa ya Temeke kwa kuzungunguka katika maeneo mbalimbali ya manispaa hiyo kwa kushirikiana na askari wa jiji na kufanikiwa kuwakamata baadhi ya ombaomba ambao wanatumia njia ya kuwatuma watoto kuomba pembezoni mwa barabara,hali ambayo ni hatari huku wakiongeza kuwa zoezi hili si nguvu ya soda bali ni endelevu
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top