Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

CCM YAKOMAA KIDEMOKRASIA

Vijana hawa wawili walikamatwa kwenye mkutano wa CCM wakigawa vipeperushi vya Chadema bila wasiwasi hata hivyo viongozi wa CCM waliokuwa kwenye mkutano huo wa kampeni uliofanyika kijiji cha Mkoko kata ya Msata tarehe 24 Machi 2014, waliwaambia tu wanachofanya  ni uvunjaji wa utaratibu hivyo kuwaomba waondoke eneo la mkutano huo na kusubiri zamu ya mkutano kisha ndio wasambaze vipeperushi vyao.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top