DARAJA LA MPIJI SASA LAPITIKA |
GREDA LIKIWA KAZINI KUTENGENEZA DARAJA LA MPIJI |
MFANYAKAZI WA TANRODI AKIRUHUSU MAGARI KATIKA DARAJA LA MPIJI LEO |
WAFANYAKAZI WAKIENDELEA KUJENGA DARAJA LA MPIJI |
ENEO LA MWENGE HALI ILIVYO BAADA YA MVUA KUNYESHA |
ABIRIA WA LIOSHUKA KATIKA DALADALA MWENGE WAKITEMBEA |
HII NDI HALI YA VIBANDA VYA BIASHARA MWENGE |
HALI YA MWENGE HIVI SASA |
MFANYAKAZI WA OFISI YA DAWASA ILIYOPO TEGETA AKIPELEKWA OFISI KWA KUTUMIA BATI NA DUMU LA MAJI LEO OFISI YA DAWASA IMEJAA KUTOKANA NA MVUA KUBWA |
MENEJA MIPANGO WA DAWASA AKITOKA OFISINI LEO AKIPELEKWA NA BATI HUKU AMEKALIA DUMU LA KUTOKANA MAJI YALIYOJAA KWENYE OFISI ILIYOPO TEGETA LEO |
MENEJA MIPANGO WA DAWASA AKITOKA OFISINI LEO AKIPELEKWA NA BATI HUKU AMEKALIA DUMU LA KUTOKANA MAJI YALIYOJAA KWENYE OFISI ILIYOPO TEGETA LEO |
Post a Comment