Mwimbaji Bishoo na Kipenzi cha wadada
hapa mjini ...Aka Bongo Hemedy au PHD ametangaza kuwa soon ataoa na huyo
kwenye picha ndio ubavu wa rohoo yake ..Humwambii kitu ....kweli Ujana
maji ya Moto..Sasa yamepoa....
“So proud to call you my woman…..its official,” ameandika staa huyo wa filamu na muziki kwenye picha inayomuonesha akiwa na mpenzi wake aliyoiweka Facebook.
-John K
“So proud to call you my woman…..its official,” ameandika staa huyo wa filamu na muziki kwenye picha inayomuonesha akiwa na mpenzi wake aliyoiweka Facebook.
-John K
Post a Comment