Usiku wa jana kwenye game ya ligi ya mabingwa ulaya Real Madrid vs Bayern Munich mshambuliaji Cristiano Ronaldo alirudi uwanjani baada ya kukosekana kwa wiki mbili ambapo pamoja na kurudi kwake na kuisaidia timu kushinda, alitengeneza headlines kwa kiatu kipya cha kucheza alichovaa.
Ni kiatu kipya alichotengenezewa na kampuni ya Nike kilichotengenzwa
kwa kuwekwa rangi ilitokana na dhahabu na ngozi nyeupe kilianza kuuzwa
jana kwenye mtandao wa nike.com lakini ndani ya muda mfupi sana tayari
pea zote 100 zilikua zimenunuliwa.
Kiatu kimepewa jina la mercurial vapor ix cr7 white / black / gold kilikuwa kikiuzwa kwa kiasi cha 310 USD (235 Euro).
Post a Comment