AFISA kutoka Mamlaka ya kuzuia rushwa na
uhujumu wa uchumi Zanzibar ‘ZAECA’ Makame Hassan, akizungumza na wananchi wa
mji wa Chakechake, kwenye mkutano wa wazi eneo la Tennis, ambapo ‘ZAECA’ ilifika
kisiwani Pemba, ili kutoa elimu kwa wananchi, kulia ni Afisa mwenzake nd:
Mwanaidi Suleiman Ali, akifuatiwa na sheha wa shehia ya Madungu, bibi Mafunda
Hamad Rubea, akifuatiwa na sheha wa shehia ya Chachani Juma Khamis Mirsho (picha
na Haji Nassor, Pemba)
Loading...
Post a Comment