Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

JAHAZI YANOGESHA MKESHA WA PASAKA DAR LIVE

                   

Kiongozi wa Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuf akiwapagawisha mashabiki kwa wimbo wake wa Chozi la mama.
Mwanamuziki wa Jahazi, Prince Amigo akiimba kwa mbwembwe.
Mashabiki wakijimwaya ndani ya Uwanja wa Taifa wa burudani, Dar Live.

Shabiki aliyepandwa na mzuka wa Jahazi, akimtunza Leila Rashid stejini.
Baadhi ya waimbaji wa Jahazi wakiwa kazini.
(PICHA: Denis Mtima, Issa Mnally na Gabriel Ng'osha / GPL)

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top