Ile
meli iliyotangazwa imezama katika ziwa Victoria na tani 280 ya sukari
siyo kweli. haikuzama ila umefanyika wizi na mmiliki wa meli hiyo Kitana
Chacha wa Mwanza ambaye ikiwa njiani zilikuja boti kadha kutoka Kenya
na sukari ikapakuliwa na kuingizwa kwenye hizo boti, na baada ya hapo
meli ikazamishwa kwa kutobolewa chini ingawa haikuzama yote.
Inafaa vyombo husika vichunguze issue hii kwa kina na huyo Kitana na wafanyakazi wale wa meli wahojiwe kueleza ukweli.
Source:Jamii Forum
Post a Comment