Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KIJANA AUAWA BAADA YA KUIBA PIKIPIKI

Mtu mmoja anaesadikiwa kuwa ni jambazi ambaye hakufahamika jina anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 25 ameuwawa kwa kupigwa mawe kisha kuchomwa moto na mwingine kunusurika kuuwawa.
Tukio hilo limetokea alfajiri ya leo katika kijiji cha Shibula kata ya Bugongwa wilayani Ilemela Mkoani Mwanza kufuatia tukio la wizi lilotokea usiku wa kuamkia leo katika mtaa Nyamwilolelwa ambapo pikipiki moja na paneli ya solar ziliibiwa.Katibu wa Sungusungu katika kijiji cha Shibula John Mashalia amesema kuwa kufuatia tukio hilo waliamua kuweka ulinzi shirikishi kuzunguka vijiji vyote na ndipo walipokutana na kijana huyo aliyeuwawa akiwa na kijana mwingine aliyefahamika kwa jina la Edward Aloyce ambao walidai wanatafuta pikipiki iliyopotea.
Mashalia ameongeza kuwa kata ya Bugongwa imekuwa na matukio ya ujambazi mara kwa mara ikiwa ni pamoja na vitendo vya ubakaji kwa watoto na wanawake.
Kwa upande wake mkaguzi msaidizi wa jeshi la polisi Joyce Kotecha amewataka wananchi wa kata hiyo kuacha kujichulia sheria mkononi na kwamba wawasiliane na uongozi wa kata yanapotokea matatizo ya namna hiyo.
KIJANA ALIYEUWAWA KWA KUCHOMWA MOTO 

VIJANA WA SUNGUSUNGU WAKIWA KATIKA MLANGO WA DUKA AMBAPO KIJANA MWINGINE ALIYENUSURIKA ALIFUNGUNGIWA KUNGOJA POLISI
HII NI BODA BODA AMBAYO WALIENDA NAYO ENEO LA TUKIO VIJANA HAO.




POLISI WAKIWASILI ENEO LA TUKIO.


POLISI WAKIPANGA JINSI YA KUMTOA MTUHUMIWA HUYO.


AMBULANCE YA ZIMA MOTO IKIANDALIWA KUPAKIA MAITI YA KIJANA HUYO.


MWILI WA KIJANA HUYO UKIWA CHINI BAADA YA MOTO KUZIMIKA.


POLISI WAKIPAKIA PIKIPIKI ILIYOKUTWA KWENYE TUKIO.


MACHELA IKIANDALIWA KUUPAKIA MWILI HUO.


POLISI WAKIKAGUA MAKOTI AMBAYO KIJANA ALIYENUSURIKA ALIYAVAA. 
MWANANCHI NA KILI YA MOTO BAADA YA TUKIO HILO 
WANACHI WALIOJITOKEZA KATIKA MWANO HUO 
MSAIDIZI WA POLISI INSPECTOR JOYCE KOTECHA AKIWASIHI WANANCHI WATULIE ILI SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE
POLISI WAKIW GETINI KWA MAANDALIZI YA KUMTOA KIJANA ALIYENUSURIKA

MWILI WA KIJANA HUYO UKIPAKIWA KWENYE MACHELA
ASKARI AKIWA STANDBY NA  BOMU LA MACHOZI WAKATI WA KUMTOA KIJANA  ALIYEFUNGIWA DUKANI


KIJANA ALIYENUSURIKA AITWAYE MANGI AKITOLEWA KUTOKA NDANI YA DUKA KWA ULINZI MKALI NA KUPAKIWA KWENYE GARI

KIJANA AKIWA NDANI YA GARI PEMBENI NI MAITI YA MWENZAKE
KIJANA AKIWA HOI BAADA YA KUPIGWA NAWANANCHI
INASIKITISHA SANA

WAKUU WA USALAMA WAKITOA MAELEKEZO KWA WANANCHI.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top