Katibu Mkuu wa CCM akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu wa RPF kwenye taafrija aliyowaandalia viongozi wa Vyama tawala Vya Siasa barani Afrika.
Kinana, Katibu Mkuu wa RPF - Inkotanyi na Karume
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana, akitoa salaam za shukrani kwa niaba ya vyama Vilivyoalikwa kwa Katibu Mkuu wa RPF
Post a Comment