Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAGARI MAPYA 10 YENYE THAMANI YA MIL 779 YANUNULIWA NA MANISPAA YA KINONDONI

 


 Magari Mapya aina ya Toyota  Yakiwa Manispaa ya Kinondoni leo mara baada ya kukabidhiwa
Mwonekano wa moja ya gari mpya zilizonunuliwa na manispaa ya kinondoni
Gari mpya aina ya Landcruiser ikiwa Ofisi ya manispaa ya Kinondoni
Mstahiki Meya Yussuph Mwenda akiongea na Vyombo vya habari Leo mara baada ya kukabidhiwa magari hayo
Meya wa Kinondoni Yussuph Mwenda akikabidhi funguo kwa mmoja wa madereva
Manispaa ya Kinondoni imenunua magari kumi (10) hard top na double cabin, Magari ayo yanayo gharimu kiasi cha Tshs. 779 milioni ikiwa ni mapato ya chanzo cha ndani ili kuboresha huduma za Mipango miji, elimu, ustawi wa jamii, afya, mapato pamoja na usimamizi
wa miradi ya maendeleo . Magari haya yatasaidia sana kuleta maendeleo na vilevile kukuza mapato ya ndani. kwa pamoja tunajenga lipa kodi kwa maendeleo ya Kinondoni (tuulize info@kinondonimc.go.tz)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top