Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa
akitoa hotuba yake wakati wa kukabidhi madawati 107 katika Shule ya
Sekondari Pugu kupitia mpango alioluanzisha wa `Mayors Ball` ya kusaidia
sekta ya elimu. Katikati ni Diwani wa Kata ya Pugu, Imelda Samjela, na
kulia kwake ni Diwani wa Kata ya Upanga Magharibi, Jokha Lemki.
Katika
hafla hiyo iliyofanyika shuleni hapo leo jijini Dar es salaam jana,
madawati 300 yenye thamani ya sh. Milioni 45 yaligawiwa katika shule
za Pugu, Ulongoni, Jangwani.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo
Wanafunzi
wa Shule ya Sekondari Pugu wakishuhudia makabidhiano ya msaada huo
ambao kwa kiasi kikubwa utasaidia kutatua kero ya samani katika shule
yao
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akipeana mkono na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Pugu, baada ya kuwakabidhi madawati 107
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Manispaa ya Ilala pamoja na Madiwani mara baada ya kukabidhi madawati hayo.
Diwani
wa Kata ya Pugu, Imelda Samjela akielezea changamoto mbalimbali
zinazoikabili Shule hiyo. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Huduma za Jamii
Manispaa ya Ilala Angelina Malembeka, Mwalimu Mkuu wa Shule ya
Sekondari Pugu, Jovinus Mutabuzi na Mstahiki Meya wa Manispaa ya
Ilala, Jerry Silaa.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM
Post a Comment