Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

NAPE:CCM ITASHINDA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 94 UCHAGUZI CHALINZE

 


1
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi  (CCM) akizungumza na waadishi wa habari kwenye hoteli ya Bonelle mjini Chalinze wakati akizungumzia maendeleo ya kampeni za chama hicho katika jimbo la Chalinze, ambapo amesema kampeni zinaenda vizuri lakini wamekumbana na Changamoto za miundombinu ya barabara kutokana na mvua ambazo zinaendelea kunyesha nchini kote, jambo ambalo linaweza kuchangia wagombea  kushindwa kuwafikia baadhi ya wananchi katika baadhi ya maeneo ya jimbo hilo, Nape ameongeza kwamba hata hivyo chama hicho kitashinda kwa asilimia 94 katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Aprili 6 jumapili ijayo.
IMG_6292Waandishi wa habari wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi katika mkutano na waandishi wa habari leo mjini Chalinze.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top