Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na viongozi mbalimbali alipowasili kwenye viwanja
vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo April 28-2014, kwa ajili ya
kuhutubia wananchi kwenye maadhimisho ya siku ya usalama na Afya
Duniani.
Afisa
mkuu mwandamizi wa mazingira katika mamlaka ya Bandari Thobias Sonda
akimpa maelezo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, juu ya utumiaji wa vifaa vya kupimia hewa,
wakati alipotembelea Banda la maabara ya mkemia mkuu wa Serikali kwenye
Maonesho ya maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya Duniani
yaliyoadhimishwa leo April 28-2014, Viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar
es salaam.
Mtaalam
wa uchunguzi wa vyakula katika maabara ya mkemia mkuu wa Serikali Edith
Wilbald akimpa maelezo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati alipotembelea Banda la
maabara ya uchunguzi wa vyakula kwenye Maonesho ya maadhimisho ya siku
ya Usalama na Afya Duniani yaliyoadhimishwa leo April 28-2014, Viwanja
vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Mtaalam
wa uchimbaji wa madini katika mgodi wa Noth Mara Gold Mine Paul Kagodi
akimuonesha Makamu wa Rais vifaa vinavyotumika katika kazi ya uchimbaji
wa madini wakati alipotembelea mabanda ya Maonesho kwenye maadhimisho ya
siku ya Usalama na Afya Duniani yaliyoadhimishwa leo April 28-2014,
Viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Watumishi
wa taasisi mbalimbali wakiwa kwenye maandamano ya maadhimisho ya siku
ya Usalama na Afya Duniani yaliyoadhimishwa leo April 28-2014 kwenye
viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipokea maandamano kwenye maaadhimisho ya siku ya Usalama na
Afya yaliyoadhimishwa leo April 28-2014 katika viwanja vya mnazi mmoja
jijini Dar es salaam.
Kikundi
cha OUT Jaz Band kikitumbuliza kwenye maadhimisho ya siku ya Usalama na
Afya Mahali pa kazi Duniani yaliyoadhimishwa leo April 28-2014 katika
viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Katibu
Mkuu wa Shirikisho la Wafanyakazi Nicolas Mgaya akizungumza kwenye
maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya Mahali pa kazi Duniani
yaliyoadhimishwa leo April 28-2014 katika viwanja vya mnazi mmoja
jijini Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akimkabizi zawadi K. Lwakatare mkuu wa usalama na mazingira
Vodacom kwenye maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya yaliyoadhimishwa
leo April 28-2014 katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akimkabizi zawadi maalum Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Mhe.
Makongoro Mahanga wakati wa maaadhimisho ya siku ya Usalama na Afya
Mahali pa kazi Duniani yaliyoadhimishwa leo April 28-2014 katika
viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia kwenye maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya Mahali
pa kazi Duniani yaliyoadhimishwa leo April 28-2014 katika viwanja vya
mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal katikati, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na watumishi wa
taasisi mbalimbali kwenye maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya
yaliyoadhimishwa leo April 28-2014 katika viwanja vya mnazi mmoja
jijini Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akiondoka kwenye viwanja vya mnazi mmoja baada ya kulihutubia
taifa wakati wa maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya Mahali pa kazi
Duniani yaliyoadhimishwa leo April 28-2014 katika viwanja vya mnazi
mmoja jijini Dar es salaam.
Post a Comment