Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Ratiba Kamati za Bunge

RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI,

MALIASILI NA MAZINGIRA WAKATI WA BUNGE LA BAJETI

KUANZIA TAREHE 27/04 - 05/05/2014

UKUMBI: BENKI KUU - MT. MERU

SIKU/TAREHE
SHUGHULI
WAHUSIKA
Jumapili
27/04/2014
Kuwasili Dar es Salaam
·      Katibu wa Bunge
·         Wajumbe
Jumatatu
28/04/2014
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
·      Wajumbe
·      Sekretarieti
Jumanne 29/04/2014
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
·      Wajumbe
·      Sekretarieti
Jumatano
30/04/2014
Kupokea mapendekezo ya mpango, kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015. (Ukumbi wa Mwl. Nyerere).
·      Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
·      Wizara ya Fedha
·     Tume ya Mipango
Alhamisi 01/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira (Fungu 31) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 na makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
·      Wizara ya Maliasili na Utalii
·      Wajumbe
·      Sekretarieti
Ijumaa
02/05/2014
i.   Asubuhi:
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii (F. 69) kwa mwaka wa Fedha wa 2013/2014 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2014/2015.
·         Wizara ya Maliasili na Utalii
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
ii.  Mchana:
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (Fungu 48) kwa mwaka wa Fedha wa 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2014/2015.
·         Wizara ya ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumamosi 03/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (Fungu 48) kwa mwaka wa fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2014/2015.
·         Wizara ya ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumapili 04/05/2014
Kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha wa 2013/2014 na makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa Fedha 2014/2015 (Fungu 31) - Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira).
·         Ofisi ya Makamu wa Rais
·         (Mazingira)
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumatatu
05/05/2014
Kusafiri kuelekea Dodoma
·         Katibu wa Bunge
·         Wajumbe

TANBIHI:

·                     Vikao vitaanza  saa   3:00   asubuhi

·                     Chai saa 4:30  asubuhi

 RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI YABUNGE YA KILIMO,

MIFUGO NA MAJI

KUANZIA TAREHE 27/04 - 05/05/2014

UKUMBI: JNICC - MAFIA

SIKU/TAREHE
SHUGHULI
WAHUSIKA
Jumapili
27/04/2014
Kuwasili Dar es salaam
·         Katibu wa Bunge
·         Wajumbe
Jumatatu
28/04/2014
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumanne
29/4/2014
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumatano
30/4/2014
Kupokea na kujadili mapendekezo ya mpango, kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere).
·        Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
·        Wizara ya Fedha
·        Tume ya Mipango
Alhamisi
01/05/2014
Kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika (Fungu 43) kwa mwaka wa fedha   2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2014/2015.
·        Wajumbe
·        Waziri ya Kilimo, Chakula na Ushirika
Ijumaa
2/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Maji (Fungu 49) kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2014/2015.
·         Wajumbe
·         Waziri  wa Maji
Jumamosi
03/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Maji (Fungu 49) kwa mwaka wa fedha 2013/2014 Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
·         Wajumbe
·         Waziri  wa Maji
Jumapili
04/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi (Fungu 99) kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na Madirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2014/2015.
·         Wajumbe
·         Waziri wa Mandeleo ya  Mifugo na Uvuvi
Jumatatu
5/05/2014
Wajumbe kusafiri kuelekea Dodoma.
·         Wote

TANBIHI:

·                                 Vikao vitaanza  saa   3:00   asubuhi

·                                 Chai saa 4:30  asubuhi

RATIBA YA KAZI ZA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU

KUANZIA TAREHE 27/04 - 09/05/2014

UKUMBI: PHILIP MARMO

SIKU/TAREHE
SHUGHULI
WAHUSIKA
Jumapili
27/04/2014
Kuwasili Dar es Salaam
·        Katibu wa Bunge
·        Wajumbe
Jumatatu
28/04/2014
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
  • Wajumbe
  • Sekretarieti
Jumanne 29/04/2014
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014.
  • Wajumbe
  • Sekretarieti
Jumatano
30/04/2014
Kupokea na kujadili mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo  wa Taifa kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere).
·         Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
·         Wizara ya Fedha
·         Tume ya Mipango
Alhamisi
01/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Wizara ya Uchukuzi (Fungu 62) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014.
  • Waziri wa Uchukuzi
  • Wajumbe
  • Sekretarieti
Ijumaa
02/04/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Wizara ya Uchukuzi (Fungu 62) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014.
  • Waziri wa Uchukuzi
  • Wajumbe
  • Sekretarieti
Jumamosi
03/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Wizara ya Ujenzi (Fungu 98) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014.
  • Waziri wa Ujenzi
  • Wajumbe
  • Sekretarieti
Jumapili 04/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia (FUNGU 68) kwa Mwaka  kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014.
·         Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumatatu
05/05/2014
Kusafiri kuelekea Dodoma
·         Katibu wa Bunge
·         Wajumbe
Jumanne
06/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi (Fungu 62) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2014/2015.
  • Waziri wa Uchukuzi
  • Wajumbe
  • Sekretarieti
Jumatano
07/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya makadiro ya mapato na matumizi ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi (Fungu 98) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2014/2015.
  • Waziri wa Ujenzi
  • Wajumbe
  • Sekretarieti
Alhamisi
08/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya makadirio ya mapato na matumizi ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi (Fungu 98) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2014/2015.
  • Waziri wa Ujenzi
  • Wajumbe
  • Sekretarieti
Ijumaa
09/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya makadirio ya mapatona matumizi ya  Bajeti ya Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia (FUNGU 68) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2014/2015.
·         Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
·         Wajumbe
·         Sekretarieti

TANBIHI:

·                                 Vikao vitaanza  saa   3:00   asubuhi

·                                 Chai saa 4:30  asubuhi

TANBIHI:

·                                 Vikao vitaanza  saa   3:00   asubuhi

·                                 Chai saa 4:30  asubuhi

 RATIBA YA KAZI ZA KAMATI YA NISHATI NA MADINI

          KUANZIA TAREHE 27/04 – 05/05/2014

UKUMBI: JNICC - MIKUMI

SIKU/TAREHE
SHUGHULI
WAHUSIKA
Jumapili
27/04/2014
Kuwasili Dar es salaam.
·   Katibu wa Bunge
·   Wajumbe
Jumatatu
28/04/2014
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
·      Wajumbe
·      Sekretarieti
Jumanne
29/04/2014
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
·      Wajumbe
·      Sekretarieti
Jumatano
30/04/2014
i.      Kupokea Mapendekezo ya Mpango, kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali (Kanuni ya 97), katika (Ukumbi wa Mwl. Nyerere).
·      Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
·      Wizara ya Fedha
·      Tume ya Mipango
ii.    Kupokea na kujadili taarifa fupi ya Wizara kuhusu fedha za Escrow Account.
·      Wizara ya Nishati na Madini
·      Watendaji wakuu waTANESCO
·      Wanasheria  &Watendaji wa IPTL
·      Wajumbe
·      Sekretarieti
Alhamisi
01/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Matumizi ya Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati na Madini (Fungu 58) kwa kulinganisha kiasi cha fedha kilichotumika na Kazi iliyofanyika 2013/2014.
·      Wizara ya Nishati na Madini
·      Watendaji wakuu wa Taasisi husika.
·      Wajumbe
·      Sekretarieti
Ijumaa
02/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini (Fungu 58) kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na matumizi kwa mwaka 2014/2015.
·      Wizara ya Nishati na Madini
·      Watendaji wakuu wa Taasisi husika.
·      Wajumbe
·      Sekretarieti
Jumamosi  03/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini (Fungu 58) kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2014/2015.
·      Wizara ya Nishati na Madini
·      Watendaji wakuu wa Taasisi husika.
·      Wajumbe
·      Sekretarieti
Jumapili
04/05/2014
Majumuisho
·      Wajumbe
·      Sekretarieti
Jumatatu
05/05/2014
Kusafiri kuelekea Dodoma
·      Katibu wa Bunge
·      Wajumbe

            TANBIHI:

·                                 Vikao vitaanza  saa   3:00   asubuhi

·                                 Chai saa 4:30  asubuhi

RATIBA YA KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC)

KUJADILI HESABU ZILIZOKAGULIWA ZA SERIKALI KUU NA MASHIRIKA YA UMMA

KUANZIA TAREHE 27/04 – 05/05/2014

UKUMBI: JUMA A. AKUKWETI

SIKU/TAREHE
SHUGHULI
WAHUSIKA
Jumapili
27/04/2014
Kuwasili Dar es Salaam
·     Katibu wa Bunge
·     Wajumbe
Jumatatu
28/04/2014
Kujadili Taarifa ya Ziara ya Ukaguzi wa Miradi Mkoa wa Kigoma.
·   Wajumbe
·   CAG
·   Msajili wa Hazina (TR)
·   Sekretarieti
Jumanne
29/04/2014
Kujadili Taarifa ya Ziara ya Ukaguzi wa Miradi Mkoa wa Njombe (Mchuchuma na Liganga)
·   Wajumbe wa Kamati
·   CAG
·   Msajili wa Hazina (TR)
·   Sekretarieti
Jumatano
30/04/2014
Kupokea mapendekezo ya Serikali kuhusu Mpango na ukomo wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere).
·      Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
·      Wizara ya Fedha
·     Tume ya Mipango
Alhamisi
01/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Msajili wa Hazina (The treasury statement) kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2013.
·       Msajili wa Hazina
·       Wajumbe
Ijumaa
02/05/2014
Saa 3:00 Asubuhi
  1. Kupokea na kujadili Taarifa ya Madeni ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA)
Saa 6:30 Mchana
  1. Kupokea na kujadili Taarifa ya madeni ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).
·   Wajumbe
·   CAG
·   Msajili wa Hazina  (TR)
·   Mkurugenzi Mkuu
  SSRA
·       Mwenyekiti wa Bodi na Menejimenti ya NSSF
·   Sekretarieti
Jumamosi
03/05/2014
Saa 3:00 Asubuhi
  1. Kupokea na kujadili Taarifa ya madeni ya Mfuko wa Pensheni kwa Wafanyakazi wa Serikali za Mtaa (LAPF)
Saa 6:30 Mchana
  1. Kupokea na kujadili Taarifa ya madeni ya Mfuko wa Taifa wa Mafao ya Watumishi wa Serikali (GEPF)
·   Wajumbe
·   CAG
·   Msajili wa Hazina (TR)
·       Wenyeviti  wa Bodi na  Menejimenti za LAPF na GEPF
·   Sekretarieti ya Kamati
Jumapili
04/05/2014
Saa  4:30 Asubuhi
  1. Kupokea na kujadili Taarifa ya madeni ya Mfuko wa Pensheni kwa Mashirika ya Umma (PPF)
Saa 6:30 Mchana
  1. Mfuko wa Pensheni kwa Wafanyakazi wa Serikali Kuu (PSPF)
·   Wajumbe wa Kamati
·   CAG
·   Msajili wa Hazina (TR)
·   Wenyeviti  wa Bodi na Menejimenti za PPF na PSPF
Sekretarieti ya Kamati
Jumatatu
05/05/2014
Kusafiri kuelekea Dodoma
Katibu wa Bunge

TANBIHI: 

·         Vikao vyote vya asubuhi vitaanza saa 3:00 Asubuhi.

·         Mapumziko ya Chai ni Saa 5:00 Asubuhi.

·         Maafisa Masuuli waepuke kuambatana na Maafisa ambao hawatasaidia katika kujibu hoja.

·         Vitabu viifikie Kamati siku 3 kabla ya siku ya kikao.

·         Kamati itajadili Hesabu zilizokaguliwa za mafungu mbalimbali zinazoishia tarehe 30 Juni, 2012.

·         Vifupisho: PAC = Public Accounts Committee; CAG = Controller and Auditor General.

 RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE NA

USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

KUANZIA TAREHE 27/04 – 05/05/2014

UKUMBI: PIUS MSEKWA

SIKU/TAREHE
SHUGHULI
WAHUSIKA
Jumapili
27/04/2014
Kuwasili Dar es Salaam
·         Katibu wa Bunge
·         Wajumbe
Jumatatu
28/04/2014
Kupitia Taarifa ya ziara ya ukaguzi wa Mradi ya Maendeleo, Mradi Namba 6391
Fungu 34, Kasma 411100 (Maputo).
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumanne
29/04/2014
Kupitia Taarifa ya ziara ya ukaguzi wa Mradi ya Maendeleo, Mradi Namba 6391
Fungu 34, Kasma 41100 (Paris – Ufaransa).
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumatano
30/04/2014
Kupokea mapendekezo ya Serikali kuhusu Mpango na ukomo wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere).
·         Wabunge    wote wa    Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania
·         Wizara ya Fedha
·         Tume ya Mipango
Alhamisi
1/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (Fungu 34) kuhusu utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 pamoja na makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa fedha 2014/2015.
·         Wajumbe
·         Wizara ya Mambo ya Nje
·         Sekeretariet
Ijumaa
2/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki (Fungu 97) kuhusu utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 pamoja na makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa fedha 2014/2015.
·         Wajumbe
·         Wizara ya Afrika ya Mashariki
·         Sekeretarieti
Jumamosi
3/05/2014
Kumalizia kazi ya Kupokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (Fungu 34) kuhusu utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 pamoja na makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa fedha 2014/2015.
·         Wajumbe
·         Wizara ya Mambo ya Nje
·         Sekeretariet
Jumapili
4/05/2014
Kumalizia Kazi ya Kupokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki (Fungu 97) kuhusu utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 pamoja na makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa fedha 2014/2015.
·         Wajumbe
·         Wizara ya Afrika ya Mashariki
·         Sekeretarieti

TANBIHI:

·                                 Vikao vitaanza  saa   3:00   asubuhi

·                                 Chai saa 4:30  asubuhi

 RATIBA YA KAZI ZA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA

 HUDUMA ZA JAMII

KUANZIA TAREHE 27/04 - 05/05/2014

UKUMBI: BENKI KUU BANQUET SECTION-I

SIKU/TAREHE
SHUGHULI
WAHUSIKA
Jumapili
27/04/2014
Kuwasili Dar es Salaam
  • Katibu wa Bunge
  • Wajumbe
Jumatatu
28/04/2014
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumanne
29/4/2014
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumatano
30/4/2014
Kupokea mapendekezo ya mpango, kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015. (Ukumbi wa Mwl. Nyerere).
·      Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
·      Wizara ya Fedha
·      Tume ya Mipango
Alhamisi
01/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya utekelezaji wa malengo ya bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa Mwaka wa Fedha wa 2013/2014.
·         Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
·         Wajumbe
Ijumaa
02/05/2014
Kupokea na kujadili makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa Mwaka wa Fedha wa 2014/2015.
·         Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
·         Wajumbe
Jumamosi
03/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya utekelezaji wa malengo ya bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014.
·         Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
·         Wajumbe
Jumapili
04/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa malengo ya bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
·       Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
·      Wajumbe
Jumatatu
05/05/2014
Kusafiri kuelekea Dodoma
·      Wajumbe
·      Katibu wa Bunge

TANBIHI:

·               Vikao vitaanza  saa   3:00   asubuhi

·                                                   Chai saa 4:30  asubuhi

 RATIBA YA KAMATI YA BUNGE YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

KUANZIA TAREHE 27/04 - 05/05/2014

UKUMBI: JNICC - MIKUMI

SIKU/TAREHE
SHUGHULI/MAHALI
WAHUSIKA
Ijumaa
25/04/ 2014
Kuwasili Dar es Salaam
·         Katibu wa Bunge
·         Wajumbe
Jumamosi
26/04/ 2014
Kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam)
·         Wajumbe
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Fungu 56) kwa Mwaka wa Fedha  2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
·         Wajumbe
·         WN OWM (TAMISEMI)
·         Mikoa yote Wajumbe
Jumapili
27/04/ 2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 kutoka kwa mikoa ifuatayo:-
1.      Mkoa wa Tanga – Fungu 86
2.      Mkoa wa Dodoma – Fungu 72
3.      Mkoa wa Rukwa – Fungu 89
4.      Mkoa wa Mara – Fungu 77
·         Wajumbe
·         WN OWM (TAMISEMI)
·         RC TANGA
·         RC DODOMA
·         RC RUKWA
·         RC MARA
Jumatatu
28/04/ 2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 kutoka kwa mikoa ifuatayo:-
1.      Mkoa wa Mbeya – Fungu 78
2.      Mkoa wa Singida – Fungu 84
3.      Mkoa wa Geita – Fungu 63
4.      Mkoa wa Shinyanga – Fungu 83
·         Wajumbe
·         WN OWM (TAMISEMI)
·         RC MBEYA
·         RC SINGIDA
·         RC GEITA
·         RC SHINYANGA
Jumanne
29/04/ 2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 kutoka kwa mikoa ifuatayo:-
1.      Mkoa wa Arusha – Fungu 70
2.      Mkoa wa Simiyu – Fungu 47
3.      Mkoa wa Kagera – Fungu 87
4.      Mkoa wa Mtwara – Fungu 80
·         Wajumbe
·         WN OWM (TAMISEMI)
·         RC ARUSHA
·         RC SIMIYU
·         RC KAGERA
·         RC MTWARA
Jumatano
30/04/ 2014
A.    Kupokea mapendekezo ya mpango, kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere)
·     Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
·     Wizara ya Fedha
·     Tume ya Mipango
  1. Kupokea na kujadili Taarifa kuhusu Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 kutoka kwa mikoa ifuatayo:-
1.      Mkoa wa Kigoma – Fungu 74
2.      Mkoa wa Manyara – Fungu 95
·         Wajumbe
·         WN OWM (TAMISEMI)
·         RC KIGOMA
·         RC MANYARA
Alhamisi
01/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa kuhusu Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 kutoka kwa mikoa ifuatayo:-
1.      Mkoa wa Dar es Salaam – Fungu 88
2.      Mkoa wa Iringa – Fungu 73
3.      Mkoa wa Lindi– Fungu 76
4.      Mkoa wa Tabora – Fungu 85
·         Wajumbe
·         WN OWM (TAMISEMI)
·         RC DAR ES SALAAM
·         RC IRINGA
·         RC LINDI
·         RC TABORA
Ijumaa
02/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa kuhusu Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 kutoka kwa mikoa ifuatayo:-
1.      Mkoa wa Morogoro – Fungu 79
2.      Mkoa wa Katavi – Fungu 36
3.      Mkoa wa Pwani– Fungu 71
·         Wajumbe
·         WN OWM (TAMISEMI)
·         RC MOROGORO
·         RC KATAVI
·         RC PWANI
Jumamosi
03/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa kuhusu Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha  2014/2015 kutoka kwa mikoa ifuatayo:-
1.      Mkoa wa Mwanza – Fungu 81
2.      Mkoa wa Kilimanjaro – Fungu 75
3.      Mkoa wa Njombe – Fungu 54
4.      Mkoa wa Ruvuma – Fungu 82
·         Wajumbe
·         WN OWM (TAMISEMI)
·         RC MWANZA
·         RC KILIMANJARO
·         RC NJOMBE
·         RC RUVUMA
Jumapili
04/05/2014
Majumuisho pamoja na kujadili Taarifa kuhusu Utekelezaji wa Bajeti ya Fungu 56 - Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) kwa Mwaka wa Fedha  2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015
·         Wajumbe
·         WN OWM (TAMISEMI)
·         Mikoa yote
Jumatatu
05/05/2014
Kusafiri kuelekea Dodoma
·         Katibu wa Bunge
·         Wajumbe

TANBIHI:

·                                 Vikao vitaanza  saa   3:00   asubuhi

·                                 Chai saa 4:30  asubuhi

RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KATIBA,

SHERIA NA UTAWALA

KUANZIA TAREHE 27/04 – 05/04/2014

UKUMBI: MKWAWA

SIKU/TAREHE
SHUGHULI
WAHUSIKA
Jumapili
27/04/2014
Kuwasili Dar es salaam
·         Katibu wa Bunge
·         Wajumbe
Jumatatu
28/04/2014
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumanne
29/4/2014
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumatano
30/4/2014
Kupokea mapendekezo ya mpango, kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015. (Ukumbi wa Mwl. Nyerere).
·      Wabunge wote wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania
·      Wizara ya Fedha
·     Tume ya Mipango
Alhamisi
01/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 katika mafungu sita  yafuatayo:-
         i.            Fungu-66-Tume ya Mipango
       ii.            Fungu-30-Ofisi ya Rais na Baraza la Mawaziri
      iii.            Fungu-33-Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
    iv.            Fungu-32-Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
      v.            Fungu -9 –Ofisi ya Rais, Bodi      ya Mishahara na Maslahi kwa Watumishi wa Umma.               
·      Waziri wa Nchi OR-UB
·      Waziri wa Nchi OR-MUR
·      Wajumbe
Ijumaa
02/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 katika mafungu sita yafuatayo:-
         i.            Fungu 31-Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano.
       ii.            Fungu 25-Waziri Mkuu
      iii.            Fungu 27-Msajili wa Vyama vya Siasa
    iv.            Fungu 37-Ofisi ya Waziri Mkuu
      v.            Fungu 42-Mfuko wa Bunge
    vi.            Fungu 61- Tume ya Taifa ya Uchaguzi
·      Waziri wa Nchi OR-UB
·      Waziri wa Nchi OR-MUR
·      Wajumbe
·      WN-OWM-SUB
Jumamosi
03/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 kwa mafungu yafutayo:-
         i.            Fungu 41 – Wizara ya Katiba na Sheria
       ii.            Fungu-55-Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
      iii.            Fungu 59 – Tume ya Kurekebisha Sheria
    iv.            Fungu 16 – Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
·    Waziri wa Katiba na Sheria
·    Wajumbe
Jumapili
04/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 kwa mafungu yafutayo:-
         i.            Fungu 8 – Tume ya Mabadiliko ya Katiba (Taarifa ya utekelezaji wa Bajeti)
       ii.            Fungu 35 – Mkurugenzi wa Mashtaka
      iii.            Fungu 40 – Mahakama ya Tanzania
    iv.            Fungu 12 – Tume ya Utumishi wa Mahakama

 RATIBA YA KAMATI YA BAJETI

KUANZIA TAREHE 27/04 – 05/05/2014

UKUMBI: JNICC UDZUNGWA

SIKU /TAREHE
SHUGHULI
WAHUSIKA
Jumapili 27/04/2014
Kuwasili Dar es Salaam
·      Katibu wa Bunge
·      Wajumbe
Jumatatu
28/04/2014
Kuendelea kujadili Taarifa ya Tathmini ya utekelezaji wa Bajeti ya mwaka 2013/2014 kwa kipindi cha nusu mwaka (Mid-year review).
·      Waziri wa Fedha
·     Wajumbe
Jumanne
29 /04/2014
Kupokea na kujadili taarifa ya Utekelezaji wa miradi ya Maendeleo kwa kipindi cha nusu mwaka 2013/2014 (Mid-year review).
·      Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango
·      Wajumbe
Jumatano 30/04/2014
  1. Kupokea Mapendekezo ya ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015.
  2. Kupokea Mapendekezo ya Serikali kuhusu mpango kwa mwaka wa fedha 2014/2015.
·      Wabunge wote wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
·      Wizara ya Fedha
·      Tume ya Mipango
Alhamisi 1/05/2014
Kujadili Mapendekezo ya Serikali kuhusu mpango kwa mwaka wa fedha 2014/2015.
·      Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango.
·      Wajumbe
Ijumaa 2/05/2014
Kujadili Mapendekezo ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa Fedha 2014/2015.
Wizara ya Fedha
Jumamosi 03/05/2014
Kujadili Mapendekezo ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa Fedha 2014/2015.
·      Wizara ya Fedha
·      Wajumbe
Jumapili 04/05/2014
Kupokea mambo muhimu yaliyojitokeza kwenye Kamati za Kisekta wakati wa kujadili utekelezaji wa Bajeti za Wizara kwa mwka wa fedha 2014/2015.
·      Sekretarieti
·      Wenyeviti wa Kamati za Kisekta
Jumatatu
05/05/2014
Kusafiri kuelekea Dodoma
Wote

TANBIHI:

·                                 Vikao vitaanza  saa   3:00   asubuhi

·                                 Chai saa 4:30  asubuhi

 RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UCHUMI,

VIWANDA NA BIASHARA

KUANZIA TAREHE 27/04 – 05/04/2014

UKUMBI: BENKI KUU BANQUET SECTION - III

TAREHE/SIKU
SHUGHULI  ITAKAYOFANYIKA
MHUSIKA
Jumapili
27/04/2014
Kuwasili Dar es Salaam
·         Katibu wa Bunge
·         Wajumbe
Jumatatu
28/04/2014
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumanne
29/04/2014
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumatano
30/04/2014
Kupokea mapendekezo ya Serikali kuhusu Mpango na ukomo wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere).
·      Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
·      Wizara ya Fedha
·      Tume ya Mipango
Alhamisi
01/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Fedha (FUNGU 50) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi  ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
·  Wajumbe
·  Wizara ya Fedha
Ijumaa
02/05/2014
Kupokea na kujdaili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya  Fedha  (FUNGU 50)
kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi  ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
·  Wajumbe
·  Wizara ya Fedha
Jumamosi
03/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa  bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara (FUNGU LA 44) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
·         Wajumbe
·         Wizara ya Viwanda na Biashara
Jumapili
04/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa  bajeti ya Ofisi ya  Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji)  Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015
·         Wajumbe
·         Ofisi ya Waziri Mkuu(uwekezaji na
·         Uwezeshaji)
Jumatatu
05 Mei 2014
Kusafiri kuelekea Dodoma
·         Wajumbe
·         Katibu wa Bunge

TANBIHI:

·                                 Vikao vitaanza  saa   3:00   asubuhi

·                                 Chai saa 4:30  asubuhi

 KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI

KUANZIA TAREHE 27/04 - 05/05/2014

UKUMBI: BENKI KUU – BANQUET SECTION - II

SIKU/TAREHE
SHUGHULI ITAKAYOFANYIKA
WAHUSIKA
Jumapili
27/04/2014
Kuwasili Dar es Salaam
  • Katibu wa Bunge
  • Wajumbe
Jumatatu
28/04/2014
Kupata mafunzo kuhusu maambukizi ya UKIMWI na Sheria ya UKIMWI.
  • Wajumbe
  • Mkurugenzi Mtendaji Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS)
  • Sekretarieti
Jumanne 29/04/2014
Kupata mafunzo kuhusu Mfuko wa UKIMWI na Sheria ya UKIMWI kwa kuzingatia  makubaliano ya Kimataifa
  • Wajumbe
  • Mkurugenzi Mtendaji Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS)
  • Sekretarieti
Jumatano
30/04/2014
Kupokea mapendekezo ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
·         Wabunge wote wa  
     Jamhuri ya 
     Muungano
     wa Tanzania
·         Wizara ya Fedha
·         Tume ya Mipango
Alhamisi
01/05/2014
·         Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania Bara (Fungu 91) na Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za kulevya (Fungu 92) kwa mwaka wa fedha 2013/2014.
·         Kupokea na kujadili Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania Bara (Fungu 91)na  Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za kulevya (Fungu 92) kwa Mwaka wa Fedha wa 2014/2015.
·         Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge
·         Sekretariet
·         Wajumbe
Ijumaa
02/05/2014
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
·         Sekretariet
·         Wajumbe
Jumamosi
03/04/2014
Semina kuhusu Mkakati wa kudhibiti UKIMWI na  mapitio ya rasimu ya kitabu cha Wabunge kuhusu afua za UKIMWI.
·         Sekretariet
·         Wajumbe
·         Mkurugenzi Mtendaji Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS)

 KAZI ZA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ULINZI NA USALAMA

KUANZIA TAREHE 28/04 - 04/05/2014

UKUMBI: CHIEF E. MANG’ENYA

SIKU/TAREHE
SHUGHULI
WAHUSIKA
Jumapili
27/04/2014
Kuwasili Dar es salaam
·         Katibu wa Bunge
·         Wajumbe
Jumatatu
28/04/2014
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumanne
29/4/2014
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumatano
30/4/2014
Kupokea mapendekezo ya mpango, kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere)
·      Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
·       Wizara ya Fedha
·         Tume ya Mipango
Alhamisi 01/05/2014
         i.            Kupokea Taarifa ya hali ya Ulinzi na Usalama ya Wizara ya Mambo ya Ndani.
       ii.            Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa malengo ya Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa 2014/2015 (Fungu 51) Wizara ya Mambo ya Ndani.
·         Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
·       Wajumbe
·       Sekretarieti
Ijumaa
02/04/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa malengo ya Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa 2014/2015 kwa mafungu mawili: 
·     Fungu 14- Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji.
·    Fungu 93-Idara ya Uhamiaji
·         Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumamosi
03/04/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa 2014/2015 kwa mafungu mawili: 
·     Fungu 28 - Jeshi la Polisi
·     Fungu 29 -Jeshi la Magereza
·     Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
·     Wajumbe
·     Sekretarieti
Jumapili 04/05/2014
         i.            Kupokea Taarifa ya hali ya Ulinzi na Usalama ya Wizara ya Ulinzi na JKT.
       ii.            Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji Bajeti kwa Mwaka wa Fedha wa 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2014/2015 kwa mafungu matatu:- 
·            Fungu 38 -Ngome
·            Fungu 39 - JKT
·            Fungu 57 - Wizara ya Ulinzi na
       JKT
·     Waziri wa Ulinzi na JKT
·     Wajumbe
·     Sekretarieti
Jumatatu
05/05/2014
Kusafiri kuelekea Dodoma
·         Katibu wa Bunge
·         Wajumbe

TANBIHI:

·                                 Vikao vitaanza  saa   3:00   asubuhi

·                                 Chai saa 4:30  asubuhi 

  RATIBA YA KAZI ZA KAMATI YA LAAC DAR ES SALAAM

 KUANZIA TAREHE 27/04 - 05/05/2014

UKUMBI: AUSTIN SHABA

SIKU /TAREHE
SHUGHULI
WAHUSIKA
Jumapili
27/4/2014
Kuwasili Dar es Salaam
Katibu wa Bunge
Jumatatu na Jumanne
28-29/04/2014
·         Masuala ya Kiutawala
·         Taarifa za ziara zilizotekelezwa na Kamati
Katibu wa Bunge
Jumatano
30/04/2014
Kupokea Taarifa za Serikali kuhusu Makadirio ya Bajeti.
Katibu wa Bunge
Alhamisi
01/05/2014
Wajumbe kuwasili Bagamoyo kwa ajili ya mafunzo kuhusu  mchakato wa Ukaguzi wa Hesabu za Serikali za Mitaa.
NAOT
Ijumaa na Jumamosi
02-3/05/2014
Mafunzo - Bagamoyo
·      Wajumbe
Jumapili
04 /05/2014
Kuondoka Bagamoyo
·      Wajumbe
Jumatatu
05/05/2014
Wajumbe kuelekea Dodoma
·      Wajumbe

TANBIHI:

·            Vikao vitaanza  saa   3:00   asubuhi

·            Chai saa 4:30  asubuhi

RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA

MAENDELEO YA JAMII

KUANZIA TAREHE 27/04 - 05/05/2014

UKUMBI: BENKI KUU - UDZUNGWA

SIKU/TAREHE
SHUGHULI
WAHUSIKA
Jumapili
27/4/2014
Kuwasili Dar es Salaam
·   Katibu wa Bunge
·   Wajumbe
Jumatatu
28/04/2014
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
·   Wajumbe
·   Sekretarieti
Jumanne
29/04/2014
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
·   Wajumbe
·   Sekretarieti
Jumatano
30/04/2014
     
Kupokea Mapendekezo ya  Mpango, Kiwango na Ukomo wa bajeti ya Serikali wa Maendeleo wa Mwaka wa Fedha 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere)
·      Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
·      Wizara ya Fedha
·    Tume ya Mipango
Alhamisi
01/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto (Fungu 53) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
·  Wajumbe
·  Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ijumaa
02/05/2014
Kupokea na kujadili Taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto (Fungu 53) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
·  Wajumbe
·  Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Jumamosi
03/05/2014
Kupokea na kujadili utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Kazi na Ajira (Fungu 98)  kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
·  Wajumbe
·  Waziri wa Kazi na Ajira
Jumapili
04/05/2014
Kupokea na kujadili Taaria ya Utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (Fungu 96) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
·   Wajumbe
·   Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Jumatatu
05/05/2014
Kusafiri kuelekea Dodoma.
Wote

TANBIHI:

·            Vikao vitaanza  saa   3:00   asubuhi

·            Chai saa 4:30  asubuhi
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top