FC
Barcelona leo imeendeleza wimbi la ushindi katika La Liga baada ya
kuifunga Real Betis mabao 3-1 katika mchezo uliopigwa katika la Camp
Nou, Barcelona Spain.
Magoli ya Barcelona yalifungwa na Lionel Mess aliyefunga mawili, na
moja walijifunga wenyewe Betis kupitia Figueras, goli la kufutia machozi
la Betis lilifungwa na Ruben Castro.
on Saturday, April 5, 2014
Post a Comment