Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE APOKEA TUZO YA “STAND UP FOR AFRICAN WOMEN” KUTOKA AMREF.

IMG_7460

IMG_0320
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, akizungumza na ujumbe kutoka African Medical Research Foundation (AMREF) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi hiyo hapa nchini Dr. Festus  Ilako. Mama Salma  alikutana na ujumbe huo ofisi za WAMA tarehe 11.4.2014. IMG_0338
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akipokea tuzo ya kushawishi wake wa Marais wa Afrika katika kutetea haki za wanawake na watoto ili kupunguza vifo vya akina mama na watoto “ Stand Up for African Mothers”. Anayekabidhi tuzo hiyo ni Mkurugenzi Mkazi wa AMREF hapa nchini Dr. Festus Ilako. Sherehe  hiyo ilifanyika kwenye ofisi za WAMA tarehe 11.4.2014.

IMG_7481
Mke wa Rais Mama Salma Kkwete akiongea na ujumbe kutoka AMREF  mara baada ya kumkabidhiwa tuzo ya “Stand up for African Mothers” tarehe 11.4.2014.
 PICHA NA JOHN  LUKUWI
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top