Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MKURUGENZI WA TWANGA PEPETA ASHA BARAKA AFUNGA NDOA KWA SIRI SANA JANA USIKU NA RASTAMAN WA MIGO MIGO LIKE NEVER BEFORE LIVE!!



Mkurugenzi Mkuu wa Twanga Pepeta, Asha Baraka jana usiku alifunga ndoa rasmi na Bwana Rastaman Idd Baka mfanya biashara maarufu huko Magomeni, mleta picha hizi amesema haikuwa rahisi kuzichukua picha hizi kutokana na amri aliyoitoa Mkurugenzi huyo ya kukataza picha ya aina yoyote kuchukuliwa ndani ya harusi hiyo, habari zaidi zinakuja stay tuned!!



Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top