Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya kalenda kutoka kwa Msajili
wa Baraza la Uuuguzi na Ukunga Tanzania Mama Lena Mfalila wakati
alipokutana na uongozi wa baraza hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo
April 29, 2014. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Seif S.
Rashid.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania alipokutana nao Ikulu jijini Dar es
salaam leo April 29, 2014. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
Dkt Seif S. Rashid
Post a Comment