Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Sheikh Mohamed Rukara, Mjumbe
maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza, alipofika na ujumbe
wake kuwasilisha ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaa leo April 29, 2014 
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea toka kwa Sheikh Mohamed Rukara,
ujumbe maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza,
aliyeuwasilisha ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaa leo April 29, 2014
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Sheikh Mohamed Rukara, Mjumbe
maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza, alipofika
kuuwasilisha ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaa leo April 29, 2014
Post a Comment