Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASWIRA BUNGE MAALUM LA KATIBA JANA MJINI DODOMA

 


PG4A5158 Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,Waziri Mkuu, Mstaafu, Edward  Lowassa (katikati), Andrew Dhenge (kulia) na James Mbatia   wakiteta, bungeni jini Dodoma machi 31,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A5207Wajumbe wa Bunge Maalum la katiba na Maspika, Anne makinda wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (kushoto) na Pandu kificho wa Baraza la Wawakilishi wakiteta, Bungeni Mjini Dodoma Machi 31,  2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

2 (2)
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Tundu Lissu akitangaza Kamati ya Uongozi kutoa ratiba itakayoongoza shughuli za Bunge hilo leo mjini Dodoma
3 (3) 
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Zakia Meghji(kushoto) na Christopher Ole Sendeka(kulia) wakijadiliana leo mjini Dodoma kabla ya kuelekea katika Kamati zao kwa ajili ya kuanza kupitia rasimu ya Katiba mpya.
 5 (1)
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Anne Makinda (kushoto) na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Namelok Moringe Sokoine (kulia) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma kabla ya kuelekea katika vikao vya Kamati mbalimbali za kupitia vifungu mbalimbali rasimu ya Katiba mpya zoezi ambalo  limeanza leo .8b
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba James Lembeli (kushoto) na Mchungaji Peter Msigwa (kulia) wakijadiliana leo mjini Dodoma kabla ya kuelekea katika Kamati zao kwa ajili ya kuanza kupitia rasimu ya Katiba mpya.
 9
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta akiondoka katika ukumbi wa Bunge mara baada ya kuharisha kikao cha Bunge leo mjini Dodoma ambao wajumbe wameelekea katika Kamati zao mbalimbali kupitia vifungu vya rasimu ya Katiba Mpya.
Picha na Tiganya Vincent-Dodoma.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top