Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WACHEZAJI WA PSG WAPEWA AHADI YA ZAIDI YA BILLIONI MOJA KILA MCHEZAJI ENDAPO WATAITOA CHELSEA KESHO



Wachezaji wa klabu ya PSG wamehaidiwa kiasi cha €450,000 kila mmoja endapo wataifunga au kuitoa Chelsea katika mchezo wa kesho wa robo fainali ya ligi ya mabingwa wa ulaya.Gazeti la Le Parisien limeripoti kwamba Raisi wa PSG Nasser Al-Khelaifi ametoa ofa hiyo kuelekea mchezo wa kesho utakaopigwa katika dimba la Stamford Bridge. PSG tayari wapo mbele kwa ushindi wa mabao 3-1 waliopata wiki iliyopita jijini Paris.Hatua inakuja siku chache baada ya kutoa ahadi ya €400,000 kwa kila mchezaji ikiwa tu watatetea kombe la ligue 1. 
€450,000 ni zaidi ya billioni 1 kwa fedha za madafu.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top