Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAJUMBE WAPYA BUNGE MAALUM WATANGWAZA.

 


SITTA_79e55.jpg
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta ametangaza rasmi majina  mengine ya ziada ya wajumbe wapya wa Kamati ya Uongozi ya Bunge hilo.
Majina hayo yametangazwa leo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge  hilo, Samia Hassan Suluhu  mjini Dodoma kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Bunge hilo.
Taarifa hiyo ilieleza kwamba Mwenyekiti huyo amefanya uteuzi huo, ili kuleta muafaka  kwa kushirikisha  wadau kutoka uwakilishi wa upinzani, ambao hawakuweza kuchaguliwa kwenye kamati 12 za Bunge  hilo.
Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo aliyataja majina hayo kuwa ni Freeman Mbowe, Abubakar  Khamis Bakari, Fatma Abdulhabib Fereji, Nakazael  Lukio Tenga na Amon  Mpanju.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top