Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Watu Watatu wafariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi machimboni Dar es Salaam


 

 Watu watatu waliofahamika kwa majina ya Msagala, Jacob na Mhando wakazi wa Bunju jijini Dar es Salaam  wamefariki dunia.

 Shughuli ya uokoaji ikiendelea.

 Waokoaji baada ya
kugundua mwili ulipo.

 Watu waliofika eneo la tukio kuwatambua marehemu.


Watu  watatu waliofahamika kwa majina ya Msagala, Jacob na Mhando wakazi wa Bunju jijini Dar es Salaam mchana  wa leo wamefariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakichimba kokoto kwenye machimbo ya Mtanzania mwenye asili ya Kiasia aliyefahamika kwa jina la Kara Arjan yaliyopo Bunju-Mbweni jijini.
 
Habari zilizopatikana eneo la tukio zilisema kuwa machimbo hayo yalishapigwa marufuku kutokana na watendaji wake kufanya kazi katika mazingira hatarishi. Wachimbaji hao wakiwa kazini, sehemu ya machimbo hayo iliporomoka na kuwafukia
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top