Wakidhangilia ushindi pamoja na Kiongozi wao Mutani Yangwe |
TIMU
YA WATOTO WA MITAANI YA TANZANIA IMEFANIKIWA KUTWAA KOMBE LA DUNIA KWA
WATOTO WA MITAANI BAADA YA KUIFUNGA BURUNDI KWA JUMLA YA MAGOLI 3-1!
MPAKA KIPINDI CHA KWANZA KINAISHA TANZANIA WALIKUWA WAKIONGOZA KWA
MAGOLI 2-0 NA KIPINDI CHA PILI WALIONGEZA GOLI LA TATU, HUKU BURUNDI
WAKIJIPATIA BAO LA KUFUTA MACHOZI BAADAYE.
Post a Comment