Msanii wa
filamu za maigizo nchini kutoka kambi ya Bongo Muvi, aliyejizolea
umaarufu miaka ya hivi karibuni, Adam Kuambiana anatarajia kuzikwa leo
Mei 20, 2014 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
alipozikwa msanii mwenzake, Steven Kanumba.
Kwa sasa mwili wa Marehemu Adam Kuambiana upo katika viwanja vya Leaders Club katika kuagwa na wananchi.
Wengine nao wapo busy...
CHANZO HABARI NA MATUKIO BLOG
Post a Comment