Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini marehemu Arthur Mwakapugi
huko nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam jana.Mwakapugi ambaye
alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 64 alitumikia taifa kwa miaka 30
mfululizo katika nafasi mbalimbali.Marehemu baadaye alisafirishwa
kwenda kuzikwa kijijini kwake Ilundo wilaya ya Tukuyu.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole na kuwafariji familia ya aliyekuwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini marehemu Arthur Mwakapugi
huko nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam jana.Mwakapugi ambaye
alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 64 alitumikia taifa kwa miaka 30
mfululizo katika nafasi mbalimbali.Marehemu baadaye alisafirishwa
kwenda kuzikwa kijijini kwake Ilundo wilaya ya Tukuyu.Picha na Freddy
Maro-IKULU
Post a Comment