Loading...
Home »
Unlabelled »
AUAWA KWA KUKATWA KATWA MAPANGA NA MTU ALIYEVALIA KININJA MKOANI LINDI
Na Abdulaziz Lindi
Pichani ni Marehemu
Hassan Hamis Dadi akitolewa kukimbizwa hospitalini baada ya kukatwa mapanga
na mtu ambae hajafahamika aliemvamia akiwa kavaa Ninja akiwa shambani kwake
katika kijiji cha Liteta Tarafa ya Mingoyo Lindi.
Mgogoro ni wa shamba la
Chumvi ambalo kulikuwa na kesi ambayo ameshinda katika Mahakama kuu lenye
Ekta 21.
Awali kabla ya tukio hilo Marehemu aliwahi pia kupigwa mapanga
kuhusiana na mgogoro wa shamba hilo.
Taarifa toka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa
wa LINDI, Renatha Mzinga
on Tuesday, May 20, 2014
Post a Comment