Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

EVANS AVEVA AJITOSA KUWANIA URAIS SIMBA SC

UCHAGUZI wa klabu ya Simba sc unazidi kushika kasi na leo hii Evans Eveva amechukua fomu ya kugombea urais wa klabu hiyo katika uchaguzi wa juni 29 mwaka huu.
Mamia ya wanachama wa Simba waliamua kumsindikiza Eveva kuchukua fomu na hii inadhihirisha mapenzi makubwa waliyonayo kwa mwanachama huyu damu wa Simba.
Eveva ameisaidia Simba kwa zaidi ya miaka 20 japokuwa hajawahi kuwa kiongozi wa kuchaguliwa.
Amewahi kuongoza kamati kadhaa za Simba ikiwemo usajili miaka ya 2000 ambapo alifanya kazi nzuri.
Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi huo, Damas Ndumbaro alisema kamati yake haitakuwa na huruma kwa yeyote atakayeenda kinyuma na kanuni.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top