Kituko
kingine leo kinatoka Italia ambapo Jaji mmoja ameamua kusimamisha kesi
baada ya kuona wafanyakazi wawili wa Mahakama hiyo wakifanya mapenzi
kwenye chumba cha jirani wakati kesi ikiendelea.
Jaji
Anna Ivaldi alishtuka na kumuomba mwendesha mashtaka anyamaze baada ya
kuona tukio hilo ndani ya ofisi pembeni ya mahakama ambapo wawili hao
walidhani kioo kilichoua na tinted pembeni yao kisingeweza kumpa nafasi
mtu wa upande wa pili kuona kinachoendelea ndani.
Post a Comment