Gwamaka
Mwamakula Muhitimu Kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha Amefariki katika
Ajali ya Gari.MarehemuAlikuwa Kikazi Mkoani Manyara Wakati akiwa njiani
Kurudi Nyumbani Ndipo alipogongwa na Gari aina ya Fuso na Kufariki
hapoahapo.Mazishi yatafanyika Dara.Taratibu za Kusafirisha Mwili
Zinaendelea andelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi.
Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi Amen
Post a Comment