Akipelekwa kwenye gari la polisi.
.Akiwa kwenye gari la polisi kupelekwa hospitali.
KIJANA
ambaye hakufahamika jina lake mara moja alikutwa ametupwa maeneo ya
Kimara-Mwisho, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita huku
akiwa na majeraha yakutisha.
Haikufahamika
mara moja kuwa mtu huyo alipigwa au alitupwa eneo hilo na nani. Polisi
walifika eneo la tukio na kumpeleka hospitali akiwa na hali mbaya.
(Picha na GLOBAL WHATSAPP
Post a Comment