Msanii
wa maigizo Salama Jabu maarafu kama Nisha amefunguka na kueleza sababu
kubwa iliyomfanya kusitisha penzi lake na mwanabongo flava Nay wa
Mitego.
Akiongea
Nisha alisema" Unajua Nay ndiye mwanaume pekee aliyefanikiwa kuuteka
mtima wangu hadi leo hii sipata mwanaume anaejua mapenzi kama yeye
lakini sasa nilikuwa napata shida sana kwake" Alisema Nisha Msanii huyo
aliendelea kusema kuwa
" Unajua Nay kwenye maapenzi ni balaa anajua sana yani sikuamini kama ningekuja kuachana nae lakini kutokana na mazingira ya yule mtu sikuwa na jinsi nikaamua kumpigia chini" Alisema Hata hivyo Nisha alizitaja sababu kubwa zilizopelekea kuchukua uamuzi huo ni pamoja na ukorofi wa mwanamuziki huyo pamoja na matusi matusi ndiyo maana alichukua maamuzi hayo magumu.

Post a Comment