Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa
hotuga yake ya Ufunguzi wa Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa
la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya
NPF-NSSF ulioanza leo,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.katika hotuba yake,Rais Kikwete ameitaka Mifuko ya
Hifadhi za Jamii kuhakikisha inawafikia wananchi wengi ambao bado
hajapata ufahamu mzuri wa umuhimu wa kujiwekea akiba.

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi
Tuzo ya Utoaji wa Huduma bora za Mafao iliyoipata NSSF,kwa Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF),Ndg. Aboubakar Rajab mara baada ya Ufunguzi wa Mkutano wa nne wa
Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na
Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza leo,kwenye ukumbi wa
mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi
mfano wa kadi ya Uanachama wa NSSF,kwa mwanachama mpya aliejiunga na
Mpango wa Wakulima,Bi. Amina Salehe Sakali.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi
mfano wa kadi ya Uanachama wa NSSF,kwa mwanachama mpya aliejiunga na
Mpango wa Madini,Bw. Emmanuel Ismael.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau
akizungumza mapema leo asubuhi wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa nne wa
Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na
Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza leo,kwenye ukumbi wa
mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF),Ndg. Aboubakar Rajab akizungumza wakati wa Mkutano wa nne wa
Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na
Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza leo,kwenye ukumbi wa
mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi
wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Crescentius Magori akiwasi Utekelezaji wa Maazimio ya Shirika wakati
Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)
unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza leo,kwenye
ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakifatilia kwa makini hotuba ya Rais Kikwete.
Mkurugenzi
Mkuu wa PPF,William Erio (kulia) akiwaeleza jambo Wakurugenzi wenzake
wa Mifuko ya Jamii,Daud Msangi (LAPF),Adam Mayingu (PSPF) na Khamis Mdee
wakati wa Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF
ulioanza leo,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini
Arusha.
Post a Comment