Rais Dkt
Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa
Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 15,
2014
Rais Dkt
Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Paul Thomas Sangawe kuwa Naibu
Katibu Mtendaji Tume ya Mipango Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 15,
2014
Rais Dkt
Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, wakiwa na
walioapishwa Luteni Generali Wyjones Kisamba na Mhe Paul Thomas Sangawe
Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 15, 2014.PICHA NA IKULU
Post a Comment