Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

]RAIS KIKWETE AONGOZA SHEREHE SIKU YA WAUGUZI DUNIANI MJINI ARUSHA

3 (6)Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza kwa makini jinsi wauguzi  wanavyotoa huduma ya afya kwa wagonjwa wakati alipotembelea mojawapo ya mabanda ya maonyesho ya Wauguzi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika kitaifa katika uwanja wa Kumbukumbu yaSheikh Amri Abeid mjini Arusha leo.
1 (6)4 (3)Wauguzi wakiandamana wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani wakiwa na mabango mbalimbali katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha leo(picha na Freddy Maro) 2 (6)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top