Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba
Nkinga(kulia) akiteta jambo na Mshauri wa Masuala ya Utamaduni kutoka
Ubalozi wa China nchini Liu Dong walipotembelea ofisi za Wizara hiyo
kuwatambulisha wasanii wa kikundi cha sanaa cha Yunnan Arts Troupe
kutoka China leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Maendeleo ya Utamaduni wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Micherzo Prof. Hermas Mwansoko akielezea jambo wakati wa hafla ya
kuwakaribisha wasanii wa kikundi cha Yunnan Arts Troupe kutoka China leo
jijoni Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi Sihaba
Nkinga na Mshauri wa Masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa China Lui
Dong.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Sihaba
Nkinga(mwenye suti ya rangi ya maziwa katikati) akiwa katika picha ya
pamoja na Wasanii wa kundi la YunnanArts Troupe kutoka China pamoja na
maafisa kutoka Ubalozi wa China nhini Tanzanaia. Picha na Frank Shija
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WHVUM
Post a Comment