Loading...
Home »
Unlabelled »
AMBWENE YESSAYA "AY" AJITOLEA KUNUA JENEZA LA MAREHEMU TYSON
Msanii
wa Hip Hop nchini, Ambwene Yessaya 'AY' (anayehesabu pesa) aliamua
kujitole kununua jeneza la kusafirishia mwili w marehemu, jeneza hilo
liligharimu kiasi cha shilingi laki sita ambazo AY alizitoa cash!

wakisaidiana kubeba jeneza hilo kuelekea hospitalini baada ya kulinunua
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifamba (mbele), akiongozana na AY kuelekea hospitalini
Mtangazaji
wa kipindi cha Mboni Show, Mboni Masimba akilia kwa uchungu akiwa nje
ya Hospitali ya Mkoa wa Morogoro wakati wakisubiri kusafirisha maiti
kuelekea Dar. Marehemu Tyson ndiye alikuwa Mtayarishaji wa kipindi chake
na walikuwa wote katika safari hiyo, ingawa walikuwa magari tofauti.
Mboni (kushoto) akiwa na Mtangazaji wa ITV, Devota Minja
Mboni akifarijiwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Anthony Mtaka.
on Sunday, June 1, 2014
Post a Comment