Baada ya MTV MAMA awards iliyofanyika huko bondeni Afrika ya
kusini na kuteka akili za watu hapa town, haswa baada ya mkali wa Afro Pop
kupiga bonge la show ambalo lilimchanganya hadi Mr.President na kumfanya
afunguke kukubali na show ile. Hii sasa ni moto wa kuotea mbali, huku wakati
Diamond Platnumz akiwa bado ana-run hii DSM, hasa baada ya kuachia nyimbo yake
ya Mdogo mdogo inayopigwa kila kona ya media hapa Bongo.
Hivi sasa ni moja kwa
moja hadi jiji la malaika aka Los Angels huko kwa Obama ambapo ndipo anatarajia
kutia mguu katika maadnalizi ya awali ya tuzo hizo za BET., Kupitia ukurasa
wake wa Instagram alifunguka na kudokezea tu, akisema “LOS ANGELES! need i say
More?”, kweli hamna la ziada la kusema hapo lugha ya picha hii inasomeka vizuri
sana.chanzo Vibe
Post a Comment