Hakuna kitu kingine zaidi ya nyavu: Kichwa cha Varela kilimuacha mbali kipa wa Marekani Tim Howard
Mshambuliaji wa Marekanir Clint Dempsey (kulia) akiifungia nchi yake bao la pili la kuongoza.
Shujaa wa Taifa: Demsey akikimbia kushangilia bao lake
Hapa chini ni vikosi vya timu zote na viwango vya wachezaji. Alama ni chini ya 10.
Kikosi cha Marekani (4-2-3-1): Howard 7; Johnson 8, Cameron 6, Besler 7, Beasley 6.5; Beckerman 6.5, Jones 7; Bedoya 6.5 (Yedlin 72mins 6), Bradley 7.5, Zusi 6 Gonzales 90mins 6) ; Dempsey 6
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Guzan, Brooks, Johannsson, Diskerud, Davis, Green, Chandler, Rimando.
Wafungaji wa magoli: Jones 65, Dempsey 81
Kadi ya njano: Jones
Kikosi cha Ureno (4-3-3): Beto 7; Pereira 6.5, Costa 6, Alves 6, Almeida 5 (Carvalho 45mins 5); Moutinho 6, Veloso 5.5, Meireles 5.5 (Varela 68mins 6); Ronaldo 6, Postiga 5 (Eder 15mins 5), Nani 6
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Eduardo, Vieirinha, Luis Neto, Rafa, Ruben Amorim, Rui Patricio.
Wafungaji wa magoli: Nani 5, Varela 90+5
Mchezaji bora wa mechi: Johnson
Mwamuzi: Nestor Pittana (Argentina)
*Viwango vya wachezaji Ian Ladyman
Jones akishangilia bao lake la kwanza la kombe la dunia.
Post a Comment