Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Diana Kimaro akimbilia Shule, Amuacha Lulu akipigika mtaani.


Baada  ya  kuwa  marafiki  kwa  muda  mrefu, Diana  ameamua  kumwacha  mwenzake Lulu   kwenye  mitaa  akipiga  misele  na  yeye  kukimbilia  shule  kuendelea  na  kidato  cha  tano.....




Diana  amesema  kuwa asingeweza  kuishi  maisha  ya  anasa  na  umaarufu  bila  shule, hivyo  anaamini  baada  ya  elimu nzuri  hata  sanaa  atakayokuwa  anaifanya  itakuwa  tofauti  na  ile  ya  wengine  ambao  hawajasoma....

Diana  Kimaro

"Najua  wapo  marafiki  zangu  wengi  ambao  wanaamini  kuwa  kufanya  sanaa  bila  shule  ni  bora, nimeamua  kusoma  ili  nifute  ujinga  uliopo  ndani  ya  tasnia  yetu.

 "Nikifika  chuo  kikuu  nitaweza  kubuni  aina  nyingine  ya  filamu  ambazo  nitakuwa  natumia  akili  ya  shule  na  uelewa  wangu," alisema  Diana
Lulu Michael
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top