Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KESI YA KUPINGA UCHAGUZI WA SIMBA YAPIGWA KALENDA NA MAHAKAMA KUU

 

Kesi iliyofunguliwa na baadhi ya wanachama wa klabu ya Simba kuhusu kuzuia kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wa timu hiyo imeahirishwa leo na jaji wa Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam.
Wanachama hao walifungua kesi hiyo baada ya Michael Wambura kuondolewa katika kinyang’anyiro cha uchaguzi.
Tovuti hii ilifika katika viwanja vya Mahakani Kuu Dar es Salaam na kukuta wanachama hao wakiondoka huku wakilalamika njiani kuwa kesi hiyo inapigwa danadana mpaka Mwenyekiti Ismail Rage akifike mahakamani hapo.
Kwa mujibu wa wanachama hao kesi hiyo itasikilizwa kesho atakapofika Rage, lakini huku wagombea wa nafasi mbalimbali wakiendelea na kampeni za uchaguzi, ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 29 mwezi huu.
>>>Taarifa News
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top