Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

LUKE SHAW AKAMILISHA USAJILI WAKE KWENDA MAN UTD


Beaming: Luke Shaw has completed his £31.5million move to Manchester United
 Luke Shaw amekamilisha dili la usajili la paundi milioni 31.5 katika klabu ya Manchester United.
BEKI wa kushoto wa England, Luke Shaw amekamilisha usajili katika klabu ya Manchester United kwa dau la paundi milioni 31.5 na kusaini mkataba wa miaka minne kukipiga Old Trafford.
Nyota huyo kinda amefuzu vipimo vya afya leo katika uwanja wa mazoezi wa Carrington na imetaarifiwa kuwa atakuwa chaguo la kwanza la kocha Louis van Gaal katika nafasi ya kushoto.
Inafahamika kuwa kinda huyo atahakikishiwa nafasi ya kuanza, huku beki mkongwe mwenye miaka 33, Mfaransa, Patrice Evra ambaye atabakia kwa mwaka mmoja akipunguziwa majukumu.
History: Shaw said he was 'thrilled and delighted' to be joining the 13-time Premier League champions
Historia: Shaw alisema amejisikia furaha kujiunga na mabingwa mara 13 wa ligi kuu ya England
Red devil: Shaw became the most expensive teenager in football history when he signed for United

Signing in: Shaw expressed his thanks for the messages of support on his Twitter account
Shaw ameelezea furaha yake ya kujiunga Man United kwenye mtandao wa Twita

Nice to meet Roo: The teen star was also welcomed by one of his new team-mates
Shaw amekaribishwa pia na Wayne Rooney 

Mchezaji huyo wa zamani wa  Southampton amesaini mkataba wa miaka minne huku kukiwa na kipengele cha kuongezewa mwaka mmoja zaidi na amefurahi sana kujiunga na mashetani hao wekundu.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top